NEW SONG||OBBY MJUZI featuring WAJAY--YANATOKEA

Huu ni wimbo mpya kutoka kwa obby mjuzi akimshirikisha mwanadada Wajay, ni dada mwenye sauti nzui sana, na ana uwezo mkubwa sana katika kuimba, wimbo umetengenezwa ktk studio ya QM records chini ya maproducer patrino na Discover, Ni wimbo unaoelezea maisha halisi ya waafrika, ni mambo yanayotokea kati yetu, wanakwetu kama hawa tunaishi nao, pengine ndio sisi wenyewe.
PATA NAFASI YA KUUSIKILIZA KISHA SHARE NA KILA MTU KADIRI UWEZAVYO.
asante sana

Previous
Next Post »