JINSI YA KUTUMIA SIMU YOYOTE YENYE BLUETOOTH NA INTERNET KAMA MODERM


watu wengi tumekuwa tukihangaika na mtandao(internet) ni ukweli usiopingika kwamba internet ni muhim sana kwenye maisha yetu ya sasa hii ni kutokana na ukweli kwamba kazi nyingi huendeshwa kwa mtandao. zipo njia nyingi zianazoweza kukupa internet kwenye computer yako. chache kati ya nyingi ni kwa kutumia wirless, hotspot au moderm. inawezekana ukawa huna hivyo vyote na unashida sana ya mtandao.
LEO NATAKA NIKUPE NJIA MBADALA NA RAHISI KABISA, NAYO NI KUPATA INTERNET KWA KUTUMIA SIMU YOYOTE YENYE BLUETOOTH. fata  hatua hzii rahisi kwa usahihi.
1. washa bluetooth ya computer yako na ya simu yako
2. nenda kwenye bluetooth ya computer yako right click then chagua "Add device" kama unavyoona hapo chini

3. ukiclick hapo utaona bluetooth ya simu yako. ichague kwa kuiclick  then bonyeza next, hapo itarespond kwenye simu yako na uta allow pairing(kama unavyofanyaga unapotuma kitu kutoka simu moja kwenda nyingine)

4. funga hiyo page na urudi tena kwenye bluetooth ya computer yako then right click na uchague  show bluetooth devices,  
5. hapo utaiona uliyoi ad, i right click then chagua connect using then chagua  access point, 

6. hapo utakuwa umemaliza na utaweza kupata internet inayofanana kabisa na ile ya HOTSPOT(WIRELESS)
Kumbuka sio lazima uwe na smartphone, hata simu ya kawaida inaweza kufanya kazii hii vizuri kabisa.


SOMA HII NI MUHIMU

jiunge na ONLINE CLASS ili ujifunze masomo mbalimbali kwa njia ya video hatua kwa hatua, hapa utajifunza kuelewa sio kukariri kama hujaelewa unaruhusiwa kuuliza swali lolote nasi tutakujibu lengo ni kwenda kinyume na elimu ya Tanzania inayowatengeneza watu kukariri badala ya kuelewa.(walioshiriki awamu ya kwanza watakuwa mashahidi wa hiki ninachosema). hauhitaji kuwa online muda wote ili kujiunga na somo hili. kama hautakuwa online tutakutuumia masomo kwenye email yako na utayafatilia kwa muda unaoutaka in case hujaelewa utauliza. kwasasa tumeanza awamu ya pili ya somo la JINSI YA KUTENGENEZA BLOG, gharama ya somo hili ni TSHS20,000.
KUMBUKA kwenye online class hamna hamna kuchelewa, ukianza leo tutakupa video za masomo ya nyuma na usipoelewa utauliza ili tuweze kwenda sambamba....
Pia tunaendelea na somo la HTML.
kama unahitaji kujiunga tafadhari wasiliana nami kwa email yangu obbymjuzi@gmail.com

 WAPE TAARIFA NA WENGINE









Previous
Next Post »

6 comments

Write comments
Unknown
AUTHOR
June 18, 2016 at 4:02 PM delete

kaka samahani mie naitaji fungua blog ivi inalipaje ilo ndilo naitaji faham kaka.

Reply
avatar
auto.
AUTHOR
June 19, 2016 at 1:43 PM delete

adesense nataka connection yake na blog ss autorunjamaly@gmail.com

Reply
avatar
OBBY MJUZI
AUTHOR
June 12, 2017 at 11:41 PM delete

kaka unaweza kujiunga kupitia link ipo pale juu kwenye maandishi mekundu, kama huwezi naweza kukuunganishia kwa bei ndoogo nichek 0753217400
OBBY MJUZI

Reply
avatar