JINSI YA KUONDOA PATTERN AU PASSWORD KWENYE SIMU YAKO BILA KUFLASH


Wanakwetu habari, leo nimeona nishare nanyi somo hili dogo, hii ni kutokana na maswali mengi ninayopokea kutoka kwa wanakwetu wanaofatilia masomo yangu kwenye blog yangu, mjuzishule.blogspot.com, pia kama wewe unaaswali lolote niitumie kwa emil yangu obbymjuzi@gmail.com nami ntayajibu kadiri ninavyoweza, lengo ni kuelimishana kuongeza maarifa kwenye technology. Kabla ya kuanza somo hili niseme mambo mawili.
1. Tembelea blog yangu mjuzishule.blogspot.com ili uweze kupata masomo mbalimbali ya computer na simu kwa njia ya video au maelezo, pia tembelea youtube channel yangu ili uweze kujifunza mambo mbalimbali ya computer kwa njia ya video, ingia youtube.com na usearch OBBY MJUZI. masomo haya yote ni bure kabisa 2.
Kama unataka kujifunza mambo ya computer kwa undani jiunge na darasa ninalofundisha online, darasa hili linahusisha watu wa aina zote pia watu wa sehemu zote, uwe umesoma IT au hujasoma, masomo yanatolewa kwa njia ya video hatua kwa hatua, muda na gharama hutofautiana kulingana na somo husika. Ndani kuna masomo kama
• Jinsi ya kutengeneza blog
• Graphics and designing
 • Website development(HTML)
 • Website designing (CSS)
 • JAVA
 • PHP
 • DATABASE
 • Microsoft office
          Microsoft word
          Microsoft excel
          Microsoft power point
         Microsoft publisher
         Microsoft access
Kwa unaehitaji kujiunga nicheki kwa email obbymjuzi@gmail.com
Tuendelee……..
Watu wengi wamekuwa wakipata tatizo la kusahau password au pattern kwenye simu zao, wengi huzani kwamba njia pekee ya kuiondoa hii ni kuflash simu, leo nitakwenda kufundisha njia rahis ya kuziondoa password bila kuiflash au bila software yoyote. Kwenye somo la leo nitatumia simu aina 4, ila hata kwenye simu nyingine njia hizi hutumika, nitatumia TECNO,HUAWEI,VODAFONE, na SAMSUNG.
Zifatazo ni hatua za kufata, fuata hatua hizi kwa umakini na utafanikiwa bila shida
 1. Zima simu yako toa betri na ulirudishe,
 2. a) Kama unatumia HUAWEI,VODAFONE AU TECNO bonyeza batani ya kuongezea sauti na ya kuwashia kwa pamoja kwa sekunde 15, kufanya hivyo kutakuletea Recovery menu.
b)kama unatumia Samsung bonyeza batani ya kuwashia, kuongezea sauti na home button kwa sekunde 15, kufanya hivyo kutakuletea Recovery menu.
3. Tumia batani ya kupunguzia sauti na ushuke mpaka kwenye wipe data/factory reset
4. Bonyeza batani ya kuwashia kisha tumia batani ya kupunguzia sauti kushuka mpaka kwenye delete all users data then bonyeza batani ya kuwashia. (kwa baadhi ya sim za tecno na Sony Bonyeza batani ya kuongezea sauti kisha tumia batani ya kupunguzia sauti kushuka mpaka kwenye delete all users data then bonyeza batani ya kuongezea sauti)
 5. Iache kwa muda kisha utaona neno Reboot now liko highlighted bonyeza batani ya kuwashia kisha iache izime na iwake( kwa baadhi ya sim zitakuomba ukubali kufuta bonyeza batani ya kuwashia kisha utaona neno Reboot now liko highlighted bonyeza batani ya kuwashia kisha iache izime na iwake) kwa kesi ya baadhi ya simu utatumia batan ya kuongezea sauti badala ya batan ya kuwashia.
 6. Hapo utakuwa umefanikiwa kuondoa pattern au password kwenye simu yako
 >>>>>>MWISHO<<<<< 
IMEANDALIWA NA obby mjuzi@2016
 obbymjuzi@gmail.com 
WATU MAKINI 
Tafadhari share kama ilivyo
Previous
Next Post »

7 comments

Write comments
Unknown
AUTHOR
September 14, 2016 at 4:01 AM delete

Nimefanya hivyo lakin laini azisomi minara haipandi kiongozi msaada naomba

Reply
avatar
Unknown
AUTHOR
October 17, 2016 at 4:19 AM delete

Kama ulifata steps vizuri haiwezi kugoma kupandisha minara

Reply
avatar
Unknown
AUTHOR
February 16, 2017 at 6:11 AM delete

Yani sikuwah fikilia kama nitawahi pata hakili kama hii nilio pata leo mpaka najuta ningefaam mapema ukweli ningefaidi mengi kiongoz asante sana kwa hufaham wako naitaji kuungana nawe niko tayali kulipa galama za masoma nitawezaje kulipa na kujiunga nifamishe kiongoz

Reply
avatar
Unknown
AUTHOR
February 16, 2017 at 6:12 AM delete

Yani sikuwah fikilia kama nitawahi pata hakili kama hii nilio pata leo mpaka najuta ningefaam mapema ukweli ningefaidi mengi kiongoz asante sana kwa hufaham wako naitaji kuungana nawe niko tayali kulipa galama za masoma nitawezaje kulipa na kujiunga nifamishe kiongoz

Reply
avatar
Unknown
AUTHOR
February 16, 2017 at 6:13 AM delete

Yani sikuwah fikilia kama nitawahi pata hakili kama hii nilio pata leo mpaka najuta ningefaam mapema ukweli ningefaidi mengi kiongoz asante sana kwa hufaham wako naitaji kuungana nawe niko tayali kulipa galama za masoma nitawezaje kulipa na kujiunga nifamishe kiongoz

Reply
avatar
Unknown
AUTHOR
February 19, 2017 at 5:54 PM delete

Good man of IT tupo pamoja kiongozi.nakupata programmer kiukweli language za kiprogrammer, code, software pamoja na command Uko vizuri.nazifu uatilia sana Kazi zako.

Reply
avatar
Unknown
AUTHOR
February 19, 2017 at 6:02 PM delete

Sawa hapo tumeenda pamoja programmer wangu. Hujakosea kamanda

Reply
avatar