JINSI YA KUONDOA VIRUS AINA YA SHORTCUT BILA KUTUMIA ANTI VIRUS YOYOTE



Uhali gani mwanakwetu? Ni matumain yangu kwamba u mzima wa afya na majukumu yanaendelea.
Leo nimeiona nishare nawe somo hili dogo. Hii ni kutokana na maswali mengi nnayopokea kutoka kwa wafatiliaji wa masomo mbalimbali kwenye website yangu OBBYMJUZI IT pia kwenye youtube channel yangu
(channel yangu inaitwa obby mjuzi kwa msoijua, ukisearch tu utaiona na utapata masomo mengi kwa njia ya vdeo).
Ni matumaini yangu litakufaa na wewe pia.

PIA NATOA HUDUMA ZIFUATAZO IKIWEMO NA DARASA NINALOFUNDISHA MIMI MWENYEWE KWA NJIA YA MTANDAO KWA GHARAMA NDOGO

..Tuendelee..
Shortcut virus ni moja ya virus wanaokera sana! Hawa huweza kushambulia flash memory card au hata computer.
Hii hutokea pale unaposave vitu kweny flash ana unapokuja kuvitazama upya unakutana na shortcuts tu. Leo nitafundisha njia 3 na nikipata muda nitakupa nyingine tatu then nikipata tena muda nitakupa nyingine 3. Nadhani zitakutosha. Karibu twende sote.
JINSI YA KUWAONDOA.
1. Nenda sehem ya kusearch (starup menu kweny pc yako) na uandike CMD then right click na uchague run as administrator.
2. Chagua herufi ya disk ambayo inavirus mfano
M.
Iandikwe hivi M: then ENTER
3. Andika dir then ENTER
4. Andika attrib -h -r -s /s /d M:\*.* then ENTER
(M: hii jina la flash yako)
Hapo utawa umemaliza.
*ALTENARIVE 1*
Fungua notepad na upaste hiz code
@echo off
attrib -h -s -r -a /s /d M:*.*
(M: ni jina la drive au flash yako).
Nenda kwenye file then save as then irename kama REMOVE.bat na kwenye file type chagua all files.
Hapo itabadilika na kuwa simple software, ichukue ukaipaste kweny hiyo flash. Itoe flash na urestat computer yako.
*ALTENATIVE 2*
download software inaitwa USBFIX ni free software. Kisha fata maelekezo.
IMEANDALIWA NA
*obby mjuzi©2016*
*>>>Watu makini<<<*
Tembelea blog yangu kwa tricks nyingne za computer mjuzishule.blogspot.com
👆🏼
NITAPENDA KAMA UTASHARE JINSI ILIVYO.
Previous
Next Post »