karibu kwenye somo la leo. naamini wewe ni mmoja wa watu ambao wamekuwa wakitamani kuona computer yao inataja jina lako(inakukaribisha mara tu inapowaka(miimi pia ni mmoja wao). basi hili ni somo maalum kwaajiili yako,Ili kuweza kufanya hivyo fata hatua hizi rahisi. fata kwa umakini kabisa.
1.(a)Nenda sehem ya kusearch na uandike notepad kama unavyoona hiyo picha hapa chini
(b)au bonyeza windows button na R kwa pamoja then andika notepad then ENTER
2. ikifunguka notepad, copy hizi code kama zilivyo na u paste kwenye notepad
Dim speaks, speech
speaks="Welcome to your PC, Username"
Set speech=CreateObject("sapi.spvoice")
speech.Speak speaks
speaks="Welcome to your PC, Username"
Set speech=CreateObject("sapi.spvoice")
speech.Speak speaks
kwenye hilo neno USERNAME andika jina lako
3.nenda sehem imeandikwa FILE then chagua save as.
4.kisha uandike WELCOME.vbs then kwenye "save as type" chagua All Files kisha bonyeza save kisha funga
kumbuka unapotaka kusave ni lazima ujue unasave wapi, maana tutalihitaji hilo file.
5.nenda uliposave hilo file na ulicopy. kisha nenda kwenye my computer then Local disk C:\documents and setting\All users\start menu\programs\startup
(hii ni kwa wale wanaotumia windows XP) na upaste hilo file hapo
nenda Local disk C:\users(user-Name)\App Data\Roaming\Microsoft\Windows\start menu\programs\startup (hii ni ni kwa wanaotumia windows 7, na 8, 8.1) na upaste hilo file hapo.
(hii ni kwa wale wanaotumia windows XP) na upaste hilo file hapo
nenda Local disk C:\users(user-Name)\App Data\Roaming\Microsoft\Windows\start menu\programs\startup (hii ni ni kwa wanaotumia windows 7, na 8, 8.1) na upaste hilo file hapo.
hapo kwenye USER-NAME chagua jina la USER yan jina lako uliloliweka akati unaweka windows, utalikuta hapo limeandikwa pia utakuta na public. achana na public.
kumbuka kama unatumia windows 7 AppData hutaiona so unatakiwa uende kwenye search na uandike hidden folder na uchague show hidden folders kama hii picha inavyoonesha. baada ya hapo utafata step zote za juu kama zilivyo
7. hapo utakuwa umemaliza restart computer yako.
kwa swali lolote wailiana nami kwa email:obbymjuzi@gmail.com
ASANTE SANA
13 comments
Write commentsnime jaribu lakini hilo neno la mwisho sija likuta(startup)
Replyfuata maelekezo vizuri, hilo neno lipo. ni vema ujue unatumia windows ngapi kabla hujafanya
ReplyAsante sana mr obby nimekusoma sana mzee
Replysound scheme haliji me natumia window 10
Replypamoja sanna mwanakwetu code!! tsha sanaaaaaaaaa
Replypamoja sanna mwanakwetu code!! tsha sanaaaaaaaaa
Replyunaishia kwenye nini ili nijue nakusaidiaje!
Replyunaishia kwenye nini ili nijue nakusaidiaje!
ReplyMm natumia window 7 X4 bado sijafanikiwa nisaidie please
Replyunaishia wap ili nijue nakusaidiaje
ReplyME HAPO KWENYE USER NAME CJAJUA NAIPATA VP AMBAYO UNAIACHA PUBLIC
Replymm nimemaliza kabisa ila nikiwasha inaleta maandishi tu but haiongei
ReplyMbona maelezo yanajitosheleza hapo unakwama wap?
ReplyEmoticonEmoticon