SOFTWARE 10 UNAZOTAKIWA KUWA NAZO KWENYE COMPUTER YAKO



SOFTWARE 10 UNAZOPASWA KUWA NAZO KWENYE COMPUTER YAKO.
Wanakwetu habari, kwanza niseme heri ya mwaka mpya. Leo nimeona nishare nanyi somo hili dogo ila ni muhm.
Ukihitaji masomo mengine tembelea blog yangu mjuzishule.blogspot.com au youtube channel yangu ingia youtube na usearch OBBY MJUZI. (Haya yote ni bure)
PIA KAMA UNAHITAJI KUJIFUNZA MASOMO YA COMPUTER KWA UNDANI JIUNGE NA DARASA LANGU NINALOFUNDISHA ONLINE POPOTE PALE ULIPO UNAWEZA KUJIUNGA. MALIPO YANAFANYIKA KWA MPESA TGO PESA AU PAYPAL PIA BANK ACCOUNT. humo kuna masomo kama jinsi ya kutengeneza blog, website desihning graphics & designing, website development, microsoft office, introduction to conputer, computer maintanance, jinsi ya kufufua memory na flash zilizokufa. jinsi ya kuroot na kuflash simu, JAVA, DATABASE, PHP na mengine mengi. MASOMO YANATOLEWA KWA NJIA YA VIDEO HATUA KWA HATUA NA USIPOELEWA NI RUKSA KUULIZA.
Kumbuka sio lazima uwe umesoma saana ilu kujiunga na darasa hili.
Kwa maelezo zaidi nichek kwa nambaa 0753217400 au email obbymjuzi@gmail.com.
TUENDELEE.
hizi ni software 10 unazozihitaji kwenye computer yako.
1.microsoft office.
Hii ni moja ya program muhim sana kwenye Computer yako. Kama tujuavyo wengi program hii inajumuisha microsoft word ambayo hukusaidia kuchapa(kutype) kazi mbalimbali, microsoft excel ambayo hutumika kama database pia huweza kufanya kazi mbalimbali za kihesabu, microsoft powerpoint ambayo ni muhim sana kwenye kufanya presentation, microsoft database kama jina lake linavyojieleza, microsoft publisher hii n kwa wale mnaopenda kuwa waandishi wa vitabu vyenye ubora, pia wengine hutumia kwenye kudesign mambo mbalimbali japo wengi wetu tumehamia kwenye photoshop, na illustrator.
Napendekeza utumie office ya 2007 au 2010. Maana hazisumbui.
2.MEDIA PLAYER
Media player ni siftware zzinazotumika kuplay video su mziki kwenye computer yako, ziko aina nying za media player ikiwemo windows media player, QQ player, VLC na nyingne nying. Hapa watu wengi hufanya makosa kwasababu huweka media player zaid ya moja wakisahau kwamba kuwa na software nying kunafanya computer iwe slow kwahiyo ni vema kuchagua software moja unayoiamini na kuipenda ili uitumie badala ya kuwa na media playe r nyingi bila sababu, mimi napendekeza utumie VLC kwasababu huwa haisumbui na inasaut ambayo ni standard
3.BROWSERS
browser ni software inayokuwezesha kuingia kwenye mtandao(internet) Ipo aina nyingi za browser ikiwemo opera, mozilla, uc browser, google chrome, na nyingne nying. Pia watu wengi hukosea hapa wanaweka browser kama 7 tofauti wakidhani ni fasheni kumbe hawajui kwamba wanasababisha computer kuwa slow. Mimi napendekeza uchague chroma na opera. Hii ni kutokana na ubora na security zinazopatikana kweny browser hizi pia na ubora zilionayo.
4.CONVERTER.
hiizi ni software zinazotumika kuconvert nyimbo kuwa au picha kuwa katika formar mbalimbali, mfano unaweza kubadil video kuwa audio au format flan ya video kuwa format nyingine. Unaweza kudownload video kweny mtandao na unapojaribu kuiplay kwenye deki inakwambia unsurpported format maana yake unahitaj converter ili uweze kubadili video hiyo iwe katka mfumo utakaokubali kucheza kwenye deki, deki nying hutumia VOB au MPEG format.
Napendekeza utumie format factory kutokana na ubora wake.
5.ADOBE READER & ADOBE PLAYER.
hizi ni muhim sana kwenye computer yako kwasababu adobe player ni tofaut na zile media player nyingne nilozotaja hapo juu hii hutumika kuplay video za mtandaoni mfano youtube vdeos au facebook videos. Kwahiyo ni muhim kuwa nayo hii. Adobe reader hutumika kufungua vitabu na documents mbalimbali zilizo katka mfumo wa PDF kwahiyo ni muhim kuwa nayo. Napendekeza utumie adobr 9 au 12. Maana ni rahis zaid kutumia.
#Itaendelea
IMEANDALIWA NA
Obby mjuzi © 2017
#WATUMAKINI
Previous
Next Post »

8 comments

Write comments
Unknown
AUTHOR
February 16, 2017 at 6:43 AM delete

Kiongozi naitaji kujiunga nawe nifanyeje maana sijui nianzie wap hata nikitaka kulipa nitalipaje ??

Reply
avatar
Issa Beka
AUTHOR
March 3, 2017 at 2:30 AM delete

obby mjuzi nifate whatsapp 0777988045

Reply
avatar
Unknown
AUTHOR
May 4, 2017 at 9:54 PM delete

asnte sana ila mm nilikuwa nahitaji kujua jinsi ya kuwa na accout ambayo itaniwezesh kununu software na vitu vingine kama hivyo mtandaon

Reply
avatar
OBBY MJUZI
AUTHOR
June 8, 2017 at 11:41 PM delete

Nichek kwa email yangu obbymjuzi@gmail.com au namba 0753217400 nitakupa maelezo ya nini unatakiwa kufanya

Reply
avatar
OBBY MJUZI
AUTHOR
June 8, 2017 at 11:44 PM delete

unaweza jiunga na paypall kwa urahis zaidi
au tafuta mastercard ya crdb then waambie wakuunganishe na online purchase.
watakupa form utajaza na utapewa maelezo ya njinsi ya kuifanya card yako iweze kununua vitu online.
asante
Regards Obby mjuzi

Reply
avatar
jimmy mgeni
AUTHOR
July 10, 2017 at 2:34 AM delete

KAKA UTALAT TIBU WAKUJIUGA UPOJE NAOMBA MUNGOZO

Reply
avatar
OBBY MJUZI
AUTHOR
July 10, 2017 at 2:54 AM delete

nichek kwa namba 0753217400 au email obbymjuzi@gmail.com

Reply
avatar