JINSI YA KUBLOCK NA KU UNBLOCK WEBSITE YOYOTE BILA KUTUMIA SOFTWARE YOYOTE

Wanakwetu habari, Leon nimeona nishare na nyinyi somo hili dogo. hii ni kutokana na maombi ya watu wengi wanaouliza maswali kupitia blog yangu pia email yangu wakihitaji ufafanuzi wa mambo mbalimbali ya technology, pia wewe unaweza kuuliza swali lako kuptia email yangu: obbymjuzi@gmail.com nami ntarijibu kwa kuyaaandalia somo kwa njia yan video au maelezo kama haya. kwa wale mliotuma maswali yenu na mnaona sijayajibu ni kwamba nampokea maswali mengi  sana na nayajibu kwa kwadiri yanavyoingia kwahiyo naomba kuwa mvumilivu utapata majibu hapahapa. kabla ya kuanza somo hili niseme mambo kadhaa
1. kuna darasa amabalo nafundisha mambo ya computer kwa undani linaitwa ONLINE CLASS, ndani yake kuna masomo kama Jinsi ya kutengeneza blog, website designing, graphics and designing, microsoft office, computer maintenance, na mengine mengi, masomo haya yanafundishwa kwa njia ya video hatua kwa hatua na kwa undani, huhitaji kuwa online muda wote ili kujiunga, gharama inatofautiana  kulingania na somo husika. kwa unaehitaji malezo zaoidi nichek kwa email yangu obbymjuzi@gmail.com au namba 0753217400.
2. ka unaehitaji kutengenezewa blog, website, au logo za compuni na binafsi na designing mbalimbali wasiliana nami pia
3. kwa  unaetaka kutengenezewa application ya blog au kuwekewa app yako PLAYSTORE nichek nitakufanyia kwa bei ndogo tu.

TUENDELEE
watu wengi tumekuwa tukitaka ku unblock au ku block website mbalimbali. wazazi wengi wanataka kublock social networks kama facebook, twitter na nyingine ili kuwafana watoto wasiweze ingia kwenye mitandano hii, pia unaweza kutumia nia hii kublock website za pornography ili kuwalinda watoto wako na mambo mabaya. kwa kufata hatua hizi utaweza kufanikisha kufanya hivyo

HATUA
1.nenda kwenye my computer (unaweza kwenda kwa kubonyeza windows button na E kwa pamoja.
2.nenda kwenye start up menu ( hii inapatikana kwa kubonyeza windows button.
3. sehem ya kuserach andika NOTEPAD then right clik na chagua RUN AS ADMINISTRATOR
4. ikifunguka nenda kwenye files then OPEN then Local disk C then windows then System32 then Drivers then Etc , hapa unaweza usione kitu angalia chini na chagua All files badala ya Text Documents. hapo utaona neno HOST.
5. liclick litafunguka, likifunguka shuka chini na uandike code hizi 127.0.0.1 gisha bonyeza TAB button na Uandike website unayotaka kuiblock, kama zipo zaidi ya moja utakuwa unaweza nafasi kati ya moja na nyingine
MFANO
127.0.0.1       facebook.com twitter.com whatsapp.com
6. nenda kwenye file na chagua SAVE
7. hapo utakuwa umemaliza na hutaona zikifunguka tena


MWISHO
imeandaliwa na
OBBY MJUZI

Previous
Next Post »

2 comments

Write comments