JINSI YA KUBADILI PDF KUWA WORD BILA SOFTWARE YOYOTE

Wanakwetu salam, leo nimeona mishare nnyi somo hili dogo ambalo naamini litakuwa msaada kwa wengi.
Kwa masomo mbalimbali ya computer na simu tembelea blog yangu mjuzishule.blogspot.com.
Lakini kama unataka kujifunza mambo ya computer kwa undani zaidi jiunge na darasa langu ninalofundisha online kwa njia ya video kwa gharama ndogo sana.
Ndani yake kuna masomo kama jinsi ya kutengeneza blog, jinsi ya kutengeneza website, graphics designing, microsoft word, introduction to computer, microsoft excel, database, na megine mengi sana.
Popote ulipo unaweza soma haijalishi unalevel gani ya elimu.
Tuendelee....
Watu wengi wamekuwa wakitamani kubadil dicuments zao kuwa pdf au kutoka pdf kuwa word.
Zipo software na njia nying za online xa kubadili pdf kuwa word.
Mimi pia nimewah fundisha jinsi ya kubali word kuea pdf.
(Pita kwenye blog yangu utaliona)
Leo nataka tuelekezane jinsi ya kubadili pdf kuwa microsoft word.
Neno PDF ni kirefu cha Neno PORTABLE DOCUMENT FORMART na wagunduzi wa hii fomat ni adobe.
Kwa kufata step hizi utaweza badili pdf kuwa word pasipo na shida yoyote.
STEPS.
1.ni lazima uwe na email, nenda kwenye browser yako(yaani program unayotumia kuingia internet mfano opera, mozira, goigle chrome na nyingne nying.
Hapa iwe kwa simu au kwa computer yote sawa.
2.andika google.com katika sehem ya kuweka link au andika sehem ya kusearch kisha bonyeza enter, ikikuletea options chagua yakwanza.
3.sasa sehem ya kusearch hapo kwenye google andika google drive bonyeza enter, itakuletea options chagua ya kwanza kabisa. Itakuomba ulogin kwa email yako kama tayar ulisha log in basi itakupeleka moja kwa moja kwenye google drive.
4. Nenda sehem ya upload file na ubonyeze hapo, itakupeleka kwenye computer au simu yako
5.chagua file unalotaka na ubonyeze open au enter, liche fe liwe uploaded na likimaliza litaleta ujumbe na utaliona hapo kweny drive.
6.liclick na uende juu utaona neno action click nq uchague openi with microsoft word au google doc au doc.
7.litachukua muda mfupi kulingana na speed ya internet yako na litafunguka kweny mtindo wa word.
8.nenda kwenye file na uchague download file as microsoft word.
9.ukibonyeza tu litaanza kudownload na likimaliza unaweza kweda kwenye computer yako na ukalifungua kama word
NB.
Uzuri wa njia hii ni kwamba unaeza badili hata pdf yenye mb 100 na ikakubali kuwa word, kinyume na njia nyingne ambazo zinalimit ukoubwa wa file..
ASANTE.
IMEANDALIWA NA
#Obby_mjuzi
#watu_makini
#0753217400
Obbymjuzi@gmail.com
TAFADHARI SHARE KAMA ILIVYO
Previous
Next Post »

1 comments:

Write comments
Anonymous
AUTHOR
June 16, 2017 at 10:35 AM delete

Shukrani sana

Reply
avatar