Wengi sana wamekuwa wakivutiwa na video wanazo ziangalia YouTube na kutaka ku download ila wakashindwa kufanya hivyo. hii ni kutokana na kukosa njia ya kudownload, pia kwangu sioni sababu ya kutumua software kudownload video kwasababu software zinamadhar yake ambayo ntakuja kuyaelezea siku moja.
ANGALIA VIDEO HII IKIKUELEKEZA NAMNA YA KUDOWNLOAD YOUTUBE VIDEO BILA KUTUMIA SOFTWARE YOYOTE. HATUA KWA HATUA..
SOMA HII NI MUHIMU
SOMA HII NI MUHIMU
jiunge na ONLINE CLASS ili ujifunze masomo mbalimbali kwa njia ya video hatua kwa hatua, hapa utajifunza kuelewa sio kukariri kama hujaelewa unaruhusiwa kuuliza swali lolote nasi tutakujibu lengo ni kwenda kinyume na elimu ya Tanzania inayowatengeneza watu kukariri badala ya kuelewa.(walioshiriki awamu ya kwanza watakuwa mashahidi wa hiki ninachosema). hauhitaji kuwa online muda wote ili kujiunga na somo hili. kama hautakuwa online tutakutuumia masomo kwenye email yako na utayafatilia kwa muda unaoutaka in case hujaelewa utauliza. kwasasa tumeanza awamu ya pili ya somo la JINSI YA KUTENGENEZA BLOG, gharama ya somo hili ni TSHS20,000.
KUMBUKA kwenye online class hamna hamna kuchelewa, ukianza leo tutakupa video za masomo ya nyuma na usipoelewa utauliza ili tuweze kwenda sambamba....
Pia tunaendelea na somo la HTML.
kama unahitaji kujiunga tafadhari wasiliana nami kwa email yangu obbymjuzi@gmail.com
WAPE TAARIFA NA WENGINE
EmoticonEmoticon