VIDEO HII HAPA
VIDEO||JINSI YA KUIFANYA COMPUTER YAKO IJIZIME YENYEWE KWA MUDA UNAOUTAKA WEWE
KARIBU kwenye somo la leo. naamini wewe ni mmoja wa watu ambao wamekuwa wakipata shida ya kujikuta wanalala na kuiacha computer ikiwa ON, pengine hata umewahi kupata tatzo la computer yako kupgwa shoti kutokana na kuiacha compuetr yako ikiwa kwenye chaji, au pengine unataka kwenda sehemu na mdogoako anataka kuendelea kutumia computer lakini hajui kuzima. basi hili ndio suluhisho lake. LEO TUTAJIFUNZA JINSI YA KUIFANYA PC YAKO IZIME KWA MUDA UNAOUTAKA WEWE. tazama video hii upate kujifunza...
VIDEO HII HAPA
VIDEO HII HAPA
EmoticonEmoticon