KARIBU NA ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YANGU MPYA MAALUM KWAAJILI YA MAMBO YA COMPUTER TU. host wako ni yuleyule OBBY MJUZI.
Watu wengi wamekuwa wakihangaishwa na keyboard zao.kuna sababu nyingi zinazopelekea keyboard kufa au kuacha kufanya kazi, ikiwa ni pamoja na vumbi pia spry za kusafishia vioo zinapotumika kwenye keyboard, au maji yanapoingia kwenye keyboard na ukaenda kuichomeka kwenye umeme(hii husababisha shoti na kuifanya keyboard ishindwe kabisa kufanya kazi....enapo umekutwa na tatzo kama hili unaweza kutumia software keyboard au onscreen keyboad na mambo yakawa kama kawaida wakati unajipanga kununua keyboard nyingine.
JINSI YA KUIPATA KEYBOARD HII FATA HATUA ZIFUATAZO KWA USAHIHI.
1.nenda kwenye my computer
2. ingia kwenye windows
3. ingia kweny system 32
4. Tafuta kitu kimeandikwa OSK(kirefu chake ni On screen keyboard.)
hapo utaweza kuype na kufanya kazi zako kama kwenye keyboard ya kawaida.
USHAURI
kama keyboard yako bado nzima nakushauri tengeneza shortcart ya hii keyboard na uiweke kwenye desktop. ili ukipata tatzo la keyboard iwe rahisi kutumia hii.
pia unaweza kuangalia video yangu niliyoiweka youtube ya jinsi ya kuipata on screen keyboard.
EmoticonEmoticon