watu wengi wamekuwa wakitoa windows na kuweka nyingine kutokana na sababu mbalimbali, pengine labda windows imekufa au imekuwa nzito au haina muonekano mzuri na sababu nyingine.
baada ya kuweka windows mpya wengi wamejikuta LOCAL DISK C ikibakiwa na free space ndogo sana kutokana na kuwepo kwa windows ambayo mara nyingi huwa inaitwa WINDOWS OLD.
kupungua kwa nafasi katika local disk C huweza kusababisha matatzo mengi ikiwemo na kuifanya computer yako iwe slow sana. hii ni kutokana na ukweli kwamba LOCAL disk C au Drive ambayo umeweka WINDOWS ndio inahusika zaidi na kuifanya computer yako irun bila matatizo ya aina yoyote. kufuta windows old fata steps zifuatazo.
1. Nenda kwenye my computer then clic local disk C (usiifungue)
2. right click kwenye local disk C na uchague PROPERTIES
3. click sehemu wameandika DISK CLEANUP.(kama picha inavyoonesha)
4. iache icalculate kwa muda(kama una vyoona hii pcha hapa)
5.ikifunguka weka tick kwenye fiile limeandikwa previous windows installation(kama picha inavyoonesha)
6.bonyeza ok then iache idelete (hapo kitakuja kidude kama hicho kwenye step namba 4, kikitoweka restat computer yako na hutaweza kuiona tena.
NAAMINI UMEPATA KITU KIPYA
kwa maoni ushauri au maswali nitumie kwenye email yangu obbymjuzi@gmail.com
EmoticonEmoticon