VIDEO| JINSI YA KUJUA KAMA WEBSITE NI SALAMA KABLA HUJAITEMBELEA







*Na obby mjuzi*
Wanakwetu habari, leo nimeona nishare nanyi somo hili dogo, hii ni kutokana na maswali mengi ninayopokea kutoka kwa wanakwetu wanaofatilia masomo yangu kwenye website yangu,mjuzishule.tech, pia kama wewe unaaswali lolote niitumie kwa emil yangu obbymjuzi@gmail.com nami ntayajibu kadiri ninavyoweza, lengo ni kuelimishana kuongeza maarifa kwenye technology.
Kabla ya kuanza somo hili niseme mambo mawili.
1.Tembelea website yangu mjuzishule.tech ili uweze kupata masomo mbalimbali ya computer na simu kwa njia ya video au maelezo, pia tembelea youtube channel yangu ili uweze kujifunza mambo mbalimbali ya computer kwa njia ya video, ingia youtube.com na usearch OBBY MJUZI. masomo haya yote ni bure kabisa
2. Kama unataka kujifunza mambo ya computer kwa undani jiunge na darasa ninalofundisha online, darasa hili linahusisha watu wa aina zote pia watu wa sehemu zote, uwe umesoma IT au hujasoma, masomo yanatolewa kwa njia ya video hatua kwa hatua, muda na gharama hutofautiana kulingana na somo husika. Ndani kuna masomo kama
*Jinsi ya kutengeneza blog
*Graphics and designing
*Website development(HTML)
*Website designing (CSS)
*JAVA
*PHP
DATABASE
Microsoft office
Ø Microsoft word
Ø Microsoft excel
Ø Microsoft power point
Ø Microsoft publisher
Ø Microsoft access
Kwa unaehitaji kujiunga nicheki kwa email obbymjuzi@gmail.com au namba 0753217400
Tuendelee……..

watu wengi wamekuwa wakiuliza ni jinsi gani wanwezza kujua kama website wanayoingia ni salama au sio salama, zipo njia nyingi za kuweza kufanya hivyo ikiwepo ile niliyowah kuelezea a kutumia malware bytes. leo nitatoa njia moja rahisi ya mtu kujua kama website unayotaka kuitembelea ni salama au sio salama.

HATUA
1.fungua browser yako, nnapoongelea browser naongelea ile application inayokuwezesha kuingia kwenye mtandao mfano Google chrome, mozilla, opera na nyingine nyingi

2. copy maneno haya na uya paste kwenye browser yako.
http://www.google.com/safebrowsing/diagnostic?site=

3. baada ya neno sawasawa weka adress ya hiyo website mfano
http://www.google.com/safebrowsing/diagnostic?site=youtube.com
kwenye kesi hii youtube.com ndio website ninayitaka kuichek kama ni salama au si salama.

4.bonyeza enter na iache iserach itafunguka page nyingine itakayokwambia kwamba ni salama au sio salama


HOW TO CHECK IF THE WEBSITE IS SAFE OR NOT

1.open your web browser.
2.copy the following codes and paste to your browser
http://www.google.com/safebrowsing/diagnostic?site=
after "=" just put the name of the website you want to check
Example
http://www.google.com/safebrowsing/diagnostic?site=Youtube.com
in this case youtube.com is the website I want to check

3. press enter then wait for it to reload, after reloading another page will open which shows the status of your website
see the picture below 





>>>>THANKS<<<<<

Previous
Next Post »