WEBSITE UNAZOWEZA KUPATA KITABU CHOCHOTE BURE


Wanakwetu habari, leo nimeona nishare nanyi swala hili dogo, hii ni kutokana na maombi ya watu wengi kunitafuta kwa email na kuniomba vtabu vya IT wengine wakauliza ni jinsi gan wanaweza kudownload vitabu bure kwenye mtandao, kiukweli zipo website nyingi zinazotoa vitabu bure, japo nyingi zinakuwa sio salama, mimi huwa natumia website mbili kudownload vitabu nnavyotaka, japo nazijua website zaid ya kumi. nyingine sio salama sana zinahitaji uelewa wa IT na malware ili uweze kudownload, lakini hizi nitakazokupa leo ni salama kabisa na hazina tatizo lolote.

BOOK BOON


hii ni moja ya website bora katika kudownload vitabu online, ina vitabu vya aina tofauti tofauti kuanzia IT, MATHEMATICS, MARKETING, PSYCHOLOGY, ENTREPRENEURSHIP, NA VINGINE VINGI, unacachotakiwa ni kusign in tu na kuchagua kitabu unachotaka na kudownload
hakuna gharama yoyote kwenye hili


PDF DRIVE

hii ni website ya pili ambayo unaweza kudownload kitabu chochote, uzuri wa website hii ni kwamba hauna haja ya kusign in, unaenda sehem ya kusearch unaandika title ya kitabu kinakuja unadownload.

NIMATUMANI YANGU KWAMBA SOMO HILI LITAWANUFAISHA NA KUWAJENGA.
USHAURI WANGU KWENU
tuanze kujenga tabia ya kusoma vitabu, tuwajengee watoto wetu tabia hii ili kutengeneza kesho nzuri kwa watototo wetu.
SOMA KILA KITU SOMA KILA SIKU.
kwa wale mnaohitaji kujiunga na darasa langu la online (long distance trainings) kwa msomo mbalimbali ya IT na designing wasiliana nami kwa email obbymjuzi@gmail.com ili upate maelezo zaid juu ya darasa hili na jinsi linavyoendeshwa,
ASANTE
imeandaliwa na 
obby mjuzi


Previous
Next Post »