Wanakwetu habari. Leo nimeona nishare nanyi somo hili dogo lakini muhim. Hii ni kutokana na maombi ya wanakwetu wengi wanaofatilia masomo yangu kupitia channel yangu ya youtube inaitwa OBBY MJUZI (ingia youtube search hivyo) au blog yangu mjuzishule.blogspot.com(tembelea humo kwa masomo mbalimvali ya computer)
Pia unaweza jiunga na darasa ninalofundisha online kwa gharama ndogo.
Utajifunza kutengeneza blog, website, graphics & designing, microsoft office, php,java, database, computer maintanance, kununua vtu online, na mengine mengi.
Pia kama unahitaj kutengenezewa blog, kubali mwonekano wa blog, kuweka adsense ili ulipwe, kubadili .nlogspot kuwa .com pia logo business card na designing mbalimbali zote nafanya kwa bei poa.
Pia hata wewe unaweza kuuliza swali lako nami nitalijibu.
Lengo ni kufanya watu wawe na uwezo katika mambo ya technology.
Tuendelee.
VLC n kifupi cha maneno VIDEO LAN CLIENT.
Hii ni moja ya player ambayo imekuwa maarufu sana duniani.
ilianza mwaka 2001
Ilitengenezwa kwa Language mbili C++ na C
VLC inakazi nyingi sana na moja ya kazi ya vlc ni kuconvert videos na audios.
Yan vlc inaweza kutumika kama converter.( nimewahi elezea hili somo, download app yangu au tembelea blog yang utaliona), kudownload video za youtube, kurecord videos. Na nyininge nyingi.
Leo ningependa niongelee jins ya kutumia vlc kuangalia video za youtube na kuzidownload video za youtube. Huu ni mwendelezo wa masomo niliyowah kuyatoa ya jins ya kudownload vdeo youtube na jinsi ya kutumia VLC.
VLC inafaida nying lakin chache kat ya nyingi ni kwamba
1.ukitumia vlc kuangalia vdeo za youtube hutapata matangazo.
2. Sio rahis kwa mtu kupata ip adress yako hvyo inapunguza uwezekano wa kuwa hacked
3.unaeza ku pause na kuendelea muda unautaka ww!.
4.unaweza kuidownload vdeo unayoitaka kirahisi sana.
STEPS
Kwa kutumia hatua hizi unaweza kutekeleza mambo tajwa hapo juu.
1. nenda youtube kwa kutumia browers yako( yaan mozila au opera au googlw chrome) then chagua video unayoitaka.
2.iclick na ikianza kuplay angalia juu utaona URL. ,(Kwa msiojua URL ni zile zinazoonekana pale juu mfano http://www.youtube.comxxxxdfjjy)
3.icopy hiyo, fungua vlc then chagua media then open network stream.
4.hapo paste hiyo url uliyoicopy kwenye step namba 2. Then bonyeza play.
Hapo itaanza kuplay video yako kwa usalama na bila shida.
*Kudownload*
5.bonyeza CTRL na J kwa pamoja. Ikifunguka angalia neno location lipo chini kabisa.
6.copy hayo maandishi unayoyaona bila kuacha neno.
7. Rud kwenye browser yako na uyapaste sehem pa kuwekea web adress then bonyeza enter
8. Itaanzs kuplay, right click na uchague save as, andika jina unalolitaka na bonyeza save. Hapo itaanza kudownload bila shida.
*ASANTE*
Imeandaliwa na
*OBBY MJUZI KUTOKA WATU MAKINI*©2016*
```Email: obbymjuzi@gmail.com```
```Namba: 0753217400```
EmoticonEmoticon