watu wengi tumekuwa tukikutana na matatzo ya kupoteza simu au kuibiwa au kusahau ulipoiweka, katika somo hili utajifunza jinsi ya kuitafuta simu iliyopotea. hii inawezekana kwa simu za smartphone tu, naamini somo hili litakuwa na msaaada mkubwa sana kwako, usisahau kushare na wengine pia kusubcribe kwenye youtube channel yangu ili kila nnapoweka somo jipya uweze kutumiwa EMAIL.
TAZAMA video hii ikikuelekeza hatua kwa hatua
EmoticonEmoticon